| Baba Yetu, Yetu uliye, Mbingu Yetu, Yetu, Amina! Baba Yetu, Yetu uliye Jina lako litukuzwe (2x) Utupe leo chakula chetu Tunachohitaji utusamehe Makosa Yetu, hey! Kama nasi tunavyowasamehe Waliotukosea usitutie Katika majaribu, lakini Utuokoe, na yule Milelea milele! Baba Yetu, Yetu uliye, Mbingu Yetu, Yetu, Amina! Baba Yetu, Yetu uliye Jina lako litukuzwe (2x) Ufalme wako ufike Utakalo Lifanyike Duniani Kama Mbinguni (Amina) Baba Yetu, Yetu uliye, Mbingu Yetu, Yetu, Amina! Baba Yetu, Yetu uliye Jina lako litukuzwe (2x) Utupe leo chakula chetu Tunachohitaji utusamehe Makosa Yetu, hey! Kama nasi tunavyowasamehe Waliotukosea usitutie Katika majaribu, lakini Utuokoe, na yule Simama mwehu Baba Yetu, Yetu uliye Jina lako litukuzwe (2x) |
| Our Father, who art in heaven, amen! Our Father, hallowed be thy name (2x) Give us this day our daily bread Forgive us for our trespasses as we Forgive others who tresspass against us Lead us not into temptation But deliver us from the evil one forever! Our Father, who art in heaven, amen! Our Father, hallowed be thy name (2x) Your kingdom come, Thy will be done On Earth as it is in heaven (amen) Our Father, who art in heaven, amen! Our Father, hallowed be thy name (2x) Give us this day our daily bread Forgive us for our trespasses as we Forgive others who tresspass against us Lead us not into temptation But deliver us from the evil You are always there Our Father, who art in heaven, amen! Our Father, hallowed be thy name (2x)
Credits Song: Swahili song Composer: Christopher Tin Animation and texts: Courtesy of Terra Lyrics
|